Watu waliotoweka mwaka 1942 wapatikana kwenye barafu Uswisi

The spot where the two bodies were found in glacierBrafu inayoyeyuka nchini Uswisi imefichua miili miwili inayoaminiwa kuwa ya mtu na mkewe waliotoweka miaka 75 iliyopita.
Marcelin na Francine Dumoulin walitoweka wakati walienda kuchunga ng'ombe wao katika milima ya Alps mwaka 1942.
Watu hao walikuwa na watoto saba.
Mtoto wao wa mwisho wa kike ambaye sasa ana umri wa 79, anasema habri hizo zimemletea utulivu na anataka kuwafanyia maziko mema."Tulitumia maisha yetu yote kuwatafuta," alisema Marceline Udry-Dumoulin.
Uchunguzi wa DNA unatarajiwa kufanywa.
Polisi wanasema kuwa miili hiyo iligunduliwa wiki iliyopita katika eneo la Tsanfleuron na mfanyakazi kutoka kampuni ya kuteleza kwa barafu ya Glacier 3000.

Comments

Popular posts from this blog

Juhudi za kuubadilisha mswada wa Obamacare zakwama

R Kelly atuhumiwa kwa ''kuwanyanyasa kingono wanawake''

Kisiwa chashinda shindano la ukweaji mnazi